Saturday, April 21, 2012
NIWEZESHE MUNGU WANGU KUWA MTUMISHI WAKO MWAMINIFU SIKU ZOTE
Ee Mungu mwema,ninaomba unipe siku zote kiu ya kutamani kufanya sawasawa na yaliyo ndani ya moyo wako Ee Mungu(in your heart and mind).
Unipe kuwa mwaminifu kwako na siku zote nifanye yale utakayo nifanye kwa sifa yako na heshima na utukufu wako Ee Mungu kwa nyakati zote (1 Sam 2).Amina.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment