Lord God,you are so good to me
I gave you my life and you never let me down
Maisha yangu unayatunza
Maisha yangu unayaimarisha,unanifanikisha
Sijui nikushukuruje Bwana wangu mwema,niwezeshe kukushukuru vema daima kila wakati,maisha yangu yote yawe ni ibada ya shukrani ,ibada ya kuabudu,kukusifu na kukutukuza wewe Mungu mwema daima,
Utukuzwe Mungu Baba mwema milele uliyetubariki kwa baraka zote za rohoni kwa njia ya mwanao Yesu Kristu
TO YOU ALONE BE GLORY FOR EVER
Wednesday, January 19, 2011
Subscribe to:
Comments (Atom)