1.Nasikia Yesu waniita
kwa mlio wa Neema yako
Ntaweza bado kusita
wako kufuata mwaliko
Yesu wataka nikupende
nifungue wako moyo
kujificha ndani niende
nionje tamu rahayo
2.Sheria yako tamu nzuri
kwa upole wake yafaa
kushika zako zote amri
aweza nani kukataa
3.Wa roho niwie mwalimu
kwake unifungulie
kukujua nipe elimu
Yesu mwema nijalie
Wednesday, October 19, 2011
Subscribe to:
Comments (Atom)